KIUNGO WA COLOMBIA ‘JAMES RODRIGUEZ’ AIFUNGASHIA VIRAGO URUGUAY, WAITANDIKA BAO 2 – 0

jAMES rODRIGUEZ

James Rodriguez akishangilia baada ya kufunga goli

Pengo la Straika wa Timu ya Taifa ya Uruguay na Liverpool, Luis Suarez limeonekana baada ya timu yake kukubali kipigo cha bao mbili kwa nunge toka kwa Colombia  katika mtanage uliochezwa kwenye dimba la Estadio do Maracana ikiwa ni katika hatua ya 16 bora.

Mabao yote mawili ya Colombia yaliwekwa wavuni na kiungo mkabaji wa Monaco, James Rodriguez mnamo dakika ya 28′ na 50′  na kufanikiwa kuipatia timu yake tiketi ya kucheza robo fainali ambapo watakutana na wenyeji Brazil.

cOLOMBIA

Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Colombia wakishangilia mara baada ya mpira kumalizika

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s