SERENA WILLIAMS ATUPWA NJE YA MICHUANO YA WIMBLEDON NA MFARANSA ALIZE CORNET , ROGER FEDERER ATOA DOZI KWA GIRALDO

Serena Williams akitoka uwanjani kwa masikitiko makubwa baada ya kutolewa na Cornet

Serena Williams akitoka uwanjani kwa masikitiko makubwa baada ya kutolewa na Cornet

Mashindano makubwa  ya tenisi yajulikanayo  kama Wimbledon  yameendelea kutimua vumbi nchini Uingereza huku mchezaji wa kike nambari moja kwa ubora Duniani na bingwa mara tano wa mashindano hayo, Mmarekani mweusi, Serena Williams akijikuta akiaga mapema baada ya kutolewa kwa seti 1-6, 6-3, 6-4 na mfaransa Alize Cornet anayeshikilia nafasi ya 24 kwa ubora ikiwa ni mara yake ya pili kumfunga bingwa huyo.

aLIZE cORNET 1Alize Cornet akishangilia kwa hisia mara baada ya kumtoa Serena Williams

Kwa upande wa wanaume, Mchezaji nambari nne kwa ubora Duniani wa mchezo wa tenesi, Roger Federer alipambana vikali na kushinda mchezo dhidi ya Santiago Giraldo baada ya kushinda seti zote za pambano hilo na hatimaye kuibuka na ushindi wa seti 6-3, 6-1, 6-3.

Roger FedererRoger Federer(Kulia) akipeana mikono na mpinzani wake Santiago Giraldo(Kushoto) baada ya mchezo kumalizika

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s