TUZO ZA WATU 2014 : PICHA ZA MATUKIO NA WASHINDI

 

Pichani ni washindi wa Tuzo za watu wakiwa na tuzo zao

Washindi wa Tuzo za Watu

Tuzo za Watu au unaweza ukaziita Tanzania People Choice Awards zimefikia kilele chake Ijumaa ya Juni 27 ndani ya hoteli ya Serena  ikiwa ni mara yake kwanza kufanyika nchini Tanzania.

Waandaaji wa Tuzo hizo ambao ni Bongo5 Media wakiongozwa na mkurugenzi wao mkuu, Luca Neghest waliweza kutoa kiasi cha shilingi milioni moja pamoja na trophy kwa kila mshindi  katika vipengele 11 vilivyokuwa vikishindaniwa.

Hii ndio orodha ya washindi wa tuzo za watu

 1. MTANGAZAJI WA REDIO ANAYEPENDWA


Millard Ayo – Clouds FM

2. KIPINDI CHA REDIO KINACHOPENDWA


Amplifaya – Clouds FM

3.MTANGAZAJI WA RUNINGA ANAYEPENDWA


Salim Kikeke – BBC Swahili

4. KIPINDI CHA RUNINGA KINACHOPENDWA


Mkasi – EATV

5. MWANAMICHEZO ANAYEPENDWA


Juma Kaseja – Yanga

6. MUONGOZAJI WA VIDEO ZA MUZIKI ZINAZOPENDWA


Nisher

7. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIUME


My Number One – Diamond

8. VIDEO YA MUZIKI INAYOPENDWA YA MWANAMUZIKI WA KIKE


Yahaya – Lady Jaydee

09. MUIGIZAJI WA KIUME KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA

King Majuto

10. MUIGIZAJI WA KIKE KWENYE FILAMU ANAYEPENDWA


Elizabeth ‘Lulu’ Michael

11. FILAMU INAYOPENDWA


Ndoa Yangu

4K0A3436

Mtangazaji mkongwe nchini, Hamza kasongo akimkabidhi tuzo Salim Kikeke

Salim Kikeke - BBC SwahiliMtangazaji wa BBC, Salim Kikeke akisema machache mara baada ya kupata Tuzo

4K0A3518

Muigizaji wa Filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mvunja mbavu Mzee Majuto katika picha ya pamoja na tuzo zao

4K0A3607

Washindi wa Tuzo za watu

4K0A3253

Waandaaji  wa Tuzo za Watu, Nancy Sumari na Luca Neghest

4K0A3705

Nancy Sumari, Salim Kikeke na Luca Neghesti

Jimmy Kabwe

Host wa Tuzo za Watu, Jimmy Kabwe akiwatangaza washindi

Jacqueline Ntuyabaliwe

Miss Tanzania Mwaka 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe (KLyn)

Faraja Nyalandu

Miss Tanzania 2004, Faraja Nyalandu

Salim Kikeke

Salim Kikeke akifuatilia kwa makini

4K0A3250Kaka Meneja Martin Kadinda na  Miss Tanzania 2008, Nasreem Kassim

Jacqueline Wolper.

Msanii wa filamu Bongo Movie, Jackline Wolper

Lulu Michael

Elizabeth Michael ‘Lulu’

4K0A3304Mtangazaji wa Clouds Doreen Andrew ‘Dee Andy’

4K0A3307Mtangazaji wa Clouds Fm, Hamis Mandi ‘B12’ alikuwepo 

4K0A3333

Nikki wa Pili na Gentriez

 

4K0A3345Mtayarishaji wa muziki toka Fishcrub, Lamar na mwanadafada Cindy Rulz

4K0A3362Mkurugenzi mkuu wa Bongo5, Luca Neghest na usingizi wake Nancy Sumari katika pozi

4K0A3398Wadau waliopata mualiko

Luca Neghesti

Luca Neghest akitoa neno

Millard Ayo

 Milard Ayo akipewa Tuzo na K-Lyn

4K0A3440

JB

Muigizaji nyota wa Bongo Movie, Jaccob Steve AKA Bonge la Bwana akimtangaza mshindi

Lulu Michale na JB

Lulu akipewa Tuzo yake

King Majuto kofia nyeupe.

 Mastaa na wadau mbalimbali waliohudhuria usiku wa Tuzo za Watu

4K0A3538

4K0A3623Babu Tale na Kikeke wa BBC

4K0A3633

King MajutoMzee Majuto na Totoz

Millard Ayo.Milard Ayo na muongozaji wa kipindi cha Mkasi, Josh

4K0A3667Kaka Meneja akipata ukodaki na Shabiki wake

 

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s