MAHABA NIKAUSHE DAMU : FRENCH MONTANA AMSAPRAIZ MPENZI WAKE ‘KHLOE’ ZAWADI YA GARI JIPYA KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

French Montana & KhloeMkali wa muziki wa kufokafoka(Hip-Hop) mwenye asili ya Moroco, Rapa French Montana ameonyesha upendo wa hali ya juu kwa mpenzi wake mpya wa sasa, mrembo Khloe anayetokea katika familia ya Kardashian baada ya kumpatia zawadi ya gari jipya aina Jeep Sahari katika siku ya kuzaliwa.

Khloe aliyekuwa akitimiza umri wa miaka 30 alhamisi ya juni 26, alishangazwa kuliona gari jipya alilopewa na mpenzi wake huyo likiwa nje ya mgahawa wa Don Coqui uliopo eneo la City island mjini New York mahali walipoenda  kupata chakula cha usiku pamoja na familia yake..

Baadhi ya mashuhuda walioshuhudia sapraizi hiyo ya aina yake ni pamoja na dada zake akiwemo Kim Kardashian, Kourtney, Kendall, Kylie na mama yake mzazi Kris Jenner. Tazama Hapo chini uone mkoko huo na jinsi mambo yalivyokuwa.

Kim Kardashian, Kris Jenner and Kylie Jenner coming out of the Ganservoort Hotel in NYCFamilia ya Kardashian(Kim, Kylie Jenner na Kris) wakielekea kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Khloe

French Montana

Khloe akishangaa kupewa funguo za gari alilonunuliwa na mpenzi wake mara baada ya kutoka nje ya mgahawa huku akishuhudiwa na ndugu zake pamoja na French montana

Jeep SaharaKhloe akiwa ndani ya gari lake jipya aina ya Jeep Sahara alilopewa kama zawadi na mpenzi wake, Rapa French Montana

Khloe Kardashian gets a surprise new car for her birthday from French Montana as her family watches happily

Khloe na FrenchFrench Montana na Khloe wakijiandaa kukata keki

Khloe akizima mishumaa

….Baada ya kukabidhiwa gari kilichofuata kilikuwa ni suala zima la kata keki tule, Khle akizima mishumaa

Khloe Kardashian gets a surprise new car for her birthday from French Montana as her family watches happilyMambo yote yalihamia klabu, P.Diddy alikuwa miongoni mwa wageni walioalikwa kama anavyoonekana katika picha ya pamoja na bethdei gal

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s