JULIO CESAR AIBEBA BRAZIL, WAITOA CHILE KWA MIKWAJU YA PENALTI

David Luiz akishangilia goli baada ya kupachia goli la kuongoza

David Luiz akishangilia mara baada ya kupachia goli lililoiongezea timu yake

Waandaji wa michuano ya kombe la Dunia, Timu ya Taifa ya Brazil imeitoa Chile kwa mikwaju mitatu(3) ya penalti dhidi ya miwili(2) baada ya kutoka sare ya 1 – 1 katika kipindi cha dakika 120  za kwanza, huku goli pekee la Brazil likifungwa na beki wa PSG, David Luiz wakati  goli la kusawazisha kwa Chile likifungwa na Alexis Sanchez.

ChileMshambuliaji wa Chile,  Mauricio Pinilla(Kushoto) akishika kichwa baada ya timu yake kulala kwa mikwaju ya penalti

Upepo wa Ushindi ulionekana kunukia kwa Brazil licha ya kukosa penalti mbili toka kwa Willian na Hulk huku Kipa wao, Julio Cesar akijikuta akifanya kazi ya ziada baada ya kuchomoa mikwaju miwili ya penalti toka kwa Mauricio Pinilla na Alexis Sanchez kabla ya penalti ya Gonzalo Jara wa Chile kugonga mwamba na hivyo kuwapa tiketi  Brazil ya kusonga mbele katika hatua ya robo fainali.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s