HATIMAYE! FLORA MBASHA NA MUMEWE WAPATANA

Flora Mbasha

Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho na wagombanao daima ndio wapatana, hatimaye mwimbaji nyota wa nyimbo za injili nchini, Florah Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha wameweka kando tofauti zao  baada ya ndugu wa pande zote mbili kuwakalisha kitako na kufanikiwa kuwapatanisha mapema wiki hii.

Awali wawili hao waliingia kwenye mtafaruku mkubwa hali iliyompelekea Flora kufahama nyumbani kwake kufuatia ttuhuma iliyokuwa inamkabili mumewe ya kumbaka shemeji yake .

 

 

Advertisements

One thought on “HATIMAYE! FLORA MBASHA NA MUMEWE WAPATANA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s