DAVIDO AMLIPA WIZKID, AJICHIA NA MEEK MILL PAMOJA NA JENNIFER HUDSON HUKO LOS ANGELS, MAREKANI

Davido MTV MAMA

Davido

Hitmaker wa Skelewu na Aye, Davido ameweza kushea na mashabiki kupitia ukurasa wake wa Instagram picha alizopiga na baadhi ya mastaa nyota wa marekani akiwemo Rapa Meek Mill pamoja na mwigizaji Jennifer Hudson wakiwa jijini Los Angels Marekani.

Inaelezwa kwamba mastaa wengi wa Nigeria na Afrika kwa sasa wako jijini humo wakijiandaa kusubiria utolewaji wa Tuzo  za BET Awards zitazofanyika usiku wa Jumapili ya  Juni 29 yaani kesho ambapo mkali huyo toka Naija anawania kipengele cha Best Intenational Act akichuana vikali na Tiwa Savage pamoja Diamond Platnumz toka nchini Tanzania.

Davido akiwa na mwigizaji maarufu wa Hollywood, Jennifer Hudson

Davido akiwa na mwigizaji nyota  wa Hollywood, Jennifer Hudson

Davido na Meek Mill wakifurahi jambo katika klabu ya usiku mjini Los Angels
Davido na Meek Mill wakifurahi jambo katika klabu ya usiku mjini Los Angels

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s