CHAMA CHA SOKA NCHINI URUGUAY CHAPINGA ADHABU ALIYOPEWA SUAREZ

Suareza akimng'ata

 

Chama cha soka nchini Uruguay kimesema kwamba kitakata rufaa kupinga adhabu aliyopewa mshambuliaji wake, Luis Suarez kwa kumng’ata mlinzi wa Italia ‘Giorgio Chiellini sambamba na kutokubaliana kabisa na picha znazomuonyesha mchezaji huyo akiugulia maumivu baada ya kung’atwa.

Rais wa chama cha soka nchini humo ‘Wilmar Valdez’ amesema adhabu hiyo ni kubwa na kudai kuwa hakuna vigezo vilivyotumika kutoa adhabu hiyo ya kumfungia kutocheza miezi minne pamoja na mechi tisa za kimataifa.

Licha ya adhabu kali inayomkabili mchezaji huyo wa Liverpool kwa sasa,  lakini klabu ya Barcelona imesisitiza nia ya kumsajili mshambuliaji huyo hatari toka kwa majogoo wa jiji la London kwa ada ya pauni milioni 80.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s