SUAREZ AFUNGIWA KUTOCHEZA SOKA MIEZI MINNE, KUKOSA MECHI ZILIZOSALIA ZA KOMBE LA DUNIA

Suarez UruguayStraika mtukutu Luis Suarez wa uruguay amefungiwa kutocheza mechi 9 za timu yake ya Taifa pamoja na kutocheza kabisa mpira sehemu yoyote katika kipindi cha miezi minne baada ya kupatikana na hatia ya kumng’ata beki wa timu ya taifa ya Italia  Giorgio Chiellini.

Adhabu hiyo inamaanisha kuwa Suarez atakosa kulitumikia taifa lake katika mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Colombia pamoja na mechi zote za miezi ya mwanzo ya klabu yake ya Liverpool ambapo ligi kuu ya England itakapoanza kutimua nyasi mwezi Agosti mwaka huu.

Licha ya adhabu hiyo kali, mabingwa Hispania, Barcelona bado wanawania kumsajili mshambuliaji huyo kwa ada ya  pauni milioni 80 kwa ajili ya kuinasa saini ya Suarez.

Advertisements

One thought on “SUAREZ AFUNGIWA KUTOCHEZA SOKA MIEZI MINNE, KUKOSA MECHI ZILIZOSALIA ZA KOMBE LA DUNIA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s