PICHA : P-SQUARE WAFANYA KOLABO NA RAPA T.I

P-Square wakiwa na T.I kwenye utengenezaji wa video ya wimbo wao

P-Square wakiwa na T.I kwenye utengenezaji wa video ya wimbo wao

Mapacha wawili wanaofanya vizuri kwenye gemu la muziki nchini Nigeria, kundi la Psquare wameendelea kuongeza idadi ya kufanya kolabo na wasanii wa kimataifa baada ya kuingia studio na kufanya kolabo  na mkali wa Hip Hop toka nchini Marekani, Rapa T.I, ambapo kwa sasa wapo kwenye zoezi la utengenezaji wa video ya wimbo huo mjini Atlanta licha ya kutotaja jina la wimbo huo

Huu unakuwa wimbo wa tatu kwa P-Square kufanya na wasanii nyota toka nchini Marekani, ukiachilia mbali ule wa Chop My Money waliomshirikisha Akon na ule wa Beautiful Onyinye waliofanya na Rick Ross. Tazama hapo chini picha za utengenezaji wa video hiyo.

P1T.I na Peter Okoye

P-Square na T.I kwa VideoP-Square na T.I wakishoot Video mjini Atlanta

Yeah ndani ya ATLP-Square na T.I wakifanya yao

ATL ShitP-Square, T.I   na Crew yao katika picha ya pamoja

Atl Stars  p1Peter Okoye akiwa na mwakilishi toka lebo ya Konvict ”Tmah”

p2

Paul Okoye ATL    P-Square1Paul  na kaka yake ‘Jude Okoye’ wakifuatilia kwa makini utenengenezaji wa video ya wimbo wao

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s