KWA MARA YA KWANZA : JAY Z NA BEYONCE WAVUJISHA VIDEO YA NDOA YAO JUKWAANI

Bey1 & Jay 1Baada ya ziara  ndefu ya kimuziki ya Beyonce na Jay Z iliyopewa jina la ”On The Run” kuanza kutimua vumbi, wanandoa hao waliamua kuwasapraizi maelfu ya mashabiki waliofurika kwenye shoo yao mjini Miami kwa kuwaonyesha baadhi ya picha na video za matukio muhimu katika maisha yao katika skrini kubwa usiku wa Juni 25 kwenye uwanja wa Sun Life.

Miongoni mwa  video hizo ni pamoja na zile za sherehe ya ndoa yao  waliyofungwa kwa siri mwaka 2008 bila ya uwepo wa mapaparazi na nyingine ikiwa ya Beyonce kipindi alipojifungua  mtoto wake wa kike wa kwanza   ‘Blue Ivy’. Tazama hapo chini uone ilivyokuwa

Screen-Shot-2014-06-26-at-10.55.51-AMIlianza kama utani

Jay-Z-Beyonce-Share-Intimate-Photos-During-On-The-Run-TourJay na Beyonce wakila kiapo mbele ya mchungaji mwaka 2008

article-2670372-1F23F7B200000578-433_634x286 article-2670372-1F23F7B600000578-84_634x286  Jay Z akimvisha Pete ya ndoa Beyonce

Screen-Shot-2014-06-26-at-10.48.40-AM

Screen-Shot-2014-06-26-at-10.56.30-AMBeyonce akiwa hospitali baada ya kujifungua Blue Ivy

Screen-Shot-2014-06-26-at-10.48.27-AMBeyonce, Blue Ivy na Jay Z

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s