KICHUPA KIPYA : DIAMOND PLATNUMZ, DAVIDO, TIWA SAVAGE, SARKODIE, LOLA RAE, MYSTIKAL & MI CASA – RISE UP [Official Video]

Rise Up VidMultichoice Africa imezindua kampeni iliyoundwa kuhamasisha waafrika kujihusisha katika miradi ya kuboresha jamii. Kampeni hiyo imezinduliwa na wimbo ulioimbwa na wasanii nyota wa Afrika unaokwenda kwa jina la ”Rise Up”.

Wimbo huo umewashirikisha wakali  kama vile Davido(Nigeria), Diamond Platnumz(Tanzania), Tiwa Savage(Nigeria), Sarkodie(Ghana), Mi Casa(Afrika Kusini), Lola Rae pamoja na Myztikal. Itazame Video yake Hapo Chini

Advertisements

4 thoughts on “KICHUPA KIPYA : DIAMOND PLATNUMZ, DAVIDO, TIWA SAVAGE, SARKODIE, LOLA RAE, MYSTIKAL & MI CASA – RISE UP [Official Video]

  1. we upo juu inge kua poa mka patana Alikiba alafu mka toa kitu kwapamoja ingenoga sana

  2. we upo juu inge kua poa mka patana Alikiba alafu mka toa kitu kwapamoja ingenoga sana kama mlivyo toa ngoma naney ilivyo nogo

  3. upo juu inge kuapoa kama mnge patana na Alikiba mkatoa ngoma yapamoja ingenoga kama ili vyo noga ya ney mzikigani

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s