PICHA : DIAMOND PLATNUMZ AANGUSHA BONGE LA SHOO MJINI BRUXELLES NCHINI UBELGIJI

Diamond akiimba pamoja na mashabiki

Diamond akiimba mbele ya mashabiki waliofurika kumshuhudia

Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz akiwa na kikosi kazi chake cha madensa wameweza kukata kiu za watanzania waishio nchini Ubelgiji baada ya kuangusha shoo kabambe iliyofanyika Juni 21 katika ukumbi wa Birmingham Palace uliopo mjini Bruxelles. Tazama Picha ujionee jinsi ilivyokuwa.

Watanzania waishio Ubelgiji waliojitokeza kumpa sapoti Diamond

Watanzania waishio  nchini Ubelgiji waliojitokeza kumpa sapoti Diamond

Mambo ya smatifoni yalihusika kwa sana
Mambo ya smartphone yalihusika kwa sana

diamond show belgium 2  diamond show belgium 4 diamond show belgium 5  diamond show belgium 7 diamond show belgium 8 diamond show belgium 9  diamond show belgium 11 diamond show belgium 12 diamond show belgium 13 Reginald MengiPicha kwa hisani ya magangaone.blogsport.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s