LULU AKANUSHA KUSHIRIKISHWA KATIKA WIMBO MPYA WA MAPACHA ‘TIME FOR THE MONEY’

MapachaMsanii nyota wa filamu nchini, Elizabeth Michael AKA Lulu amekanusha vikali kushirikishwa katika ngoma mpya ya Mapacha inayoitwa ‘Time for the money’ iliyotengenezwa kwenye studio za Soround Sound zilizopo THT chini ya producer  Tuddy Thomas.

Ishu hiyo imetokea siku chache tangu wakali hao wa Anti – Virus wazike tofauti zao na kituo cha utangazaji cha Clouds Group baada ya kugundua  Kuwa bifu waliyokuwa wameitengeneza  haikua na faida yoyote kwao.

Mwe mwe mwe…!Mbona mnaninyasanyasa…’in Senga’s voice’ I swear sina idea na Huku kushirikishwa….au kuna Elizabeth Michael’Lulu’ mwingine!???? Dah…hebu mliosikia hyo nyimbo labda mniambie😳😳😳😳Mana nashirikishwa ki miujiza jmn😩😩 aliandika Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram. Isikilize hapo Chini

 

Advertisements

One thought on “LULU AKANUSHA KUSHIRIKISHWA KATIKA WIMBO MPYA WA MAPACHA ‘TIME FOR THE MONEY’

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s