GENGE LA WAHUNI WAPATAO 100 LAMKIMBIZA RICK ROSS KWENYE TAMASHA MJINI DETROIT

Rick Ross Rolls RoyceMaisha matamu lakini mafupi.. Rapa mwili jumba ambaye pia ni mmiliki wa Lebo ya Maybach, Rick Ross ameripotiwa kushindwa kupiga shoo katika mji wa Detroit baada ya kuzungukwa na genge la wahuni(Goons)wapatao 100  katika eneo la Chene Park kulipofanyika tamasha hilo.

Mratibu wa vipindi wa kituo cha utangazaji cha Detroit, Jay Hicks, aliutangazia umati wa watu waliofurika kumshuhudia Mfalme huyo wa Miami na kuwaambia  kuwa Rapa huyo alikuwepo maeneo hayo lakini ameshindwa kupanda stejini kwa kuhofia uhai wake.

”Luv I wuz ready to killm 2nite,heard it wuz a peace protest wit picket signs and locked gates haa” aliandika Rozzay kwenye ukurasa wake wa Twitter

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s