HISPANIA YAAGA MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA KIUME, YAICHAPA 3 – 0 AUSTRALIA

Wachezaji wa kikosi cha Hispania wakimpongeza Straika Fernando Torres baada ya kutupia wavuni bao la pili

Wachezaji wa kikosi cha Hispania wakimpongeza Straika Fernando Torres baada ya kutupia wavuni bao la pili

Timu ya Taifa ya Hispania imeepuka fedheha ya kuaga mashindano ya Kombe la Dunia bila pointi kwa kuilaza  Australia magoli 3 – 0,  lakini matokeo hayo hayakuwa muarobaini kwa mabingwa hao watetezi na kujikuta wakiaga mashindano hayo huku mabao yakifungwa na  David Villa, Fernando Torres pamoja na  Juan Mata.

Vijana hao wa Vicent del Bosque wamemaliza katika nafasi ya tatu kwa upande wa kundi B wakiwa na alama 3 wakati Uholanzi na Chile zikifanikiwa kutinga kwenye hatua ya 16 bora.

David Villa

David Villa akifunga kwa ustadi kabisa bao la kwanza

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s