WEMA SEPETU AWATOLEA UVIVU WALIOANIKA PICHA ZA UTAMU ZA MAMA YAKE MZAZI MTANDAONI

Wema na Mama yake

Wema Sepetu na Mama Yake

Ukuaji wa kasi wa maendeleo na teknolojia umeweza kurahisisha mambo mengi sambamba na kuleta mabadiliko makubwa katika jamii yetu ingawa kwa upande mwingine umeleta athari  na kugeuka kuwa kero kwa watu hasa pale wahitimu au wataalam wa masuala hayo  wanapoamua kutumia taaluma na ujuzi waliokuwa nao kinyume na utaratibu unaotakiwa.

Bila shaka ndugu msomaji hautakuwa mgeni au huenda  ukawa umewahi kusikia kuhusiana na picha zinatengenezwa kwa kutumia programu maalum ya kwenye kompyuta maarufu kama Photoshop ambapo mtu anaweza akatumia picha ya mtu yoyote yule kuitengeza/kumuediti  vile atakavyo.

Watu mbalimbali mashuhuri wamewahi kukumbwa na mikasi hiyo,  hali iliyopelekea jamii kuwachukulia ndivyo sivyo kutokana na idadi kubwa ya watu kutoielewa teknolojia hiyo ya kisasa inayoendelea kushika chati.

Wakati hayo yakiendelea,  Mrembo aliyewahi kutwaa taji la uMiss Tanzania mwaka 2006 ambaye pia ni msanii wa filamu nchini, mwanadafada Wema Isaac sepetu amejikuta akitokwa na machozi baada ya kuona picha ya mama yake mzazi iliyoeditiwa yaani Photoshop ikimuonyesha akiwa kama alivyozaliwa.

Ishu hiyo ilitokea jana kwenye mtandao wa Instagram huku comments nyingi za mashabiki wa supastaa huyo wakiponda kitendo alichofanyiwa  mama mzazi wa msanii huyo

”nawapeni hongera…. Tena mmetisha haswa… Kila sjku huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu… Hakuna siku nimelia kwa uchungu kama leo” aliandika Wema kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye wafuasi zaidi ya laki  1.

Na hivi ndivyo alivyofunguka ..”Dah…! Sijui hata niseme nini…! Ila si mlitaka kuniumiza… leo mmefanikiwa… nawapeni hongera…. Tena mmetisha haswa… Kila sjku huwa hata siumizwi na matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu… Hakuna siku nimelia kwa uchungu kama leo… I min mnitukane mimi mpaka mchoke but leave my mum out of it… Kawakosea nini nyinyi mama angu mpaka mfanye hivyo… Mzazi nwenyewe ndo nimebakia nae mmoja tu… mnataka afe na yeye nibaki yatima sio… dah… leo mmeniweza… saana jamani… Basi naomba isifike huko… nina uchungu sana na mama angu … nampenda sana mama angu ila naona mnataka kuniulia mama angu… Picha halisi ndo hio hapo juu kweli mtu uende ukamfanyie hivyo mama wa mwenzako… una mama wewe.. au uliokotwa na hujui uchungu wa mama… dah… nime surrender leo…. hongera zenu narudia tena… mmeniweza leo…. dah… Mungu nipe nguvu ktk hili jamani… Kwani nilichokikosea haswa ni kitu gani mpaka iwe hivi . Nimekosa nini mimi yarabi toba…. Eeeh mungu… Dah… Ila nashkuru….”

 

41 thoughts on “WEMA SEPETU AWATOLEA UVIVU WALIOANIKA PICHA ZA UTAMU ZA MAMA YAKE MZAZI MTANDAONI

 1. pole sana dada angu .binadamu akiamua jambo huwezi katu kumzuia so jipe moyo ila aliyefanya kitendo hicho hata kwa mungu hajapenda.

 2. pole sana kwayaliyo kukuta mfariji mama muambie amua chie mungu lana sio mpaka uchiwe na mama mzazi hao wame laniwa usiumizwe na walio laaniwa

 3. pole sana sister wema mungu atakulipa ila huyo aliefanya kitendo hiko analana ya mzazi wake na ndio mana hawaheshimu wazazi wawenzie.

 4. Ts nat fair guyz, daah… imagin ungekua ww den yo mam kafanyiw ivo, ts hurts… ver xor 2 ma wema..

 5. Pole xna dada ao wote wanatafta umaharufu kuptia mgongo wako so jipe moyo wamekuchafua wew wamechoka sasa wameamia kwa mzaz cjapenda hata mung apendi

 6. pole xana ila unatakiwa kwasasa upunge idad ya maduuy wanaokuzunguku jamii nzima naamin ukifata uo ushaul wang ayatotokea tena kua m2 waaman mda wote nausiwe mgomv punguza mdomo

 7. wema dada nakupenda sana tena sana kwa ufaham wangu mimi kinacho fanya uchukiwe na watu ni huo urembo wako na nyota yako inavyo ng’aa. siku zote waswahili wana sema funika kombe mwanaharam apite haya yote yanatokea ni kutokana na jinsi ulivyo hakuna hata mwaka mmoja ulio shuka chat, na hicho wanacho jiuliza mpk kufikia hatua ya kukuchafua ila ninacho kuomba weka maji mdomoni ili usiweze kujibu chochote kinacho zungumzwa juu yako. Mungu akusaidie sana kushinda haya majaribu pole sana na pia mpe pole mama.

 8. niaje dada mwachie mungu ila mimi nilikua na shida na wewe kwani nilikua napenda kuigiza je naweza kupata nafas

 9. pole sana ndo walimwengu,lakini jamani mama ni kiumbe kingine kabsa katik Jamii,hebu weye uliyefanya hivyo ,fikiria ndo ungefanyiwa hivy ?fikirien kabla hamjatenda inauma sana kwanza huo uchungu alioupata hadi umekuwa na akil zako leo fadhila zako wamrudishia kwa hivyo udhalilishai?2we na fikira kabla ha2jatendaaaaaa,ina uma sana tena sana cjui atajibu ninin,na laana ya mama ikikupata hata dkk huchukui ,tena jamani huu ni mwezi mtukufu 2weshimu jamani,pole my wema,utashinda 2

 10. sio kila m2 anapend maendel ya w2 xo wema we uko ju mama achan nao wanafk wot xo fany kaz mama

 11. pole da wema wanadamu ndo walivyo mtu anawashwa washwa nakuamua afanye anajisikia ila mwamini mungu malipo ni duniani

 12. Kila unalo fikiria kutenda ktk dunia jiulize(kwanini)na kila ufanyiwalo jiulize vil vile.Tuipe mgongo Dunia Tuache mzaha says:

  TANGA

 13. mpende mamito ndo kila kitu hy ndomama bila yy ww usinge kuwepo nawasingekosa lakuongea,wote huo niwivu big up

 14. pole xana ciyter wema coz hayo nimajaribu ya dunia na hao waliofanya hivyo nahisi hawaujui uchungu wa mama xo forget it leave to allah

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s