WIZKID NA CHRIS BROWN KAMA MAPACHA, WAONEKANA WAKIJIACHIA MITAA YA BEVERLY HILS NCHINI MAREKANI

CB na Wizkid

Chris Brown na Wizkid

Nyota ya Wizkid imeendelea kung’aa baada ya kuoneka akijiachia  sambamba na mwanamuziki Chris Brown pamoja na mchumba wake mwanamitindo Karrueche Tran ikiwa ni siku chache kupita tangu wawili hao waingie studio kufanya kolabo.

Tukio hilo lililotokea ijumaa ya juni 20 nje kidogo ya hoteli ya The SLS iliyopo eneo la Beverly Hills mjini California huku habari hiyo ikipewa  uzito  na tovuti maarufu  ya UK Dailymail. ”Hey there : The rapper was seen greeting popular Nigerian artist Wizkid outside the hotel” uliandika mtandao huo.

Hii sio mara ya kwanza kwa Wizkid kuonekana akihang out na mastaa nyota wa marekani kama vile  Akon, Big Sean, Justin Bieber, Tyga, Ty Dollar pamoja na staa wa filamu za Fast & Furious Tyrese Gibson.

Chris Brown na Wizkid wakisalimiana

Chris Brown na Wizkid wakipeana salamu

CB & WKBeverly HillsChris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran waitoka hotelini

Tyrese Gibson, Wizkid na Akon wakiwa ndani ya Rolls Royce

Tyrese Gibson, Wizkid na Akon wakiwa ndani ya Rolls Royce

Kaka yake Akon, Abu 'Bu' Thiam, Tyga, Wizkid na Chris Brown

Kaka yake Akon  ‘Abu ‘Bu’ Thiam’, Tyga, Wizkid na Chris Brown

 

Justin Bieber na Wizkid

Justin Bieber na Wizkid

Hitmaker wa Paranoid ‘TY Dollar Sign’, Wiz Kid na Big sean

 

,

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s