PICHA ZA JAMBAZI ZAWATOA UDENDA WAKINADADA MTANDAONI

Jeremy Meeks

Jeremy Meeks

Wanaokwenda jela sio wote wanahatia ila kwa mfungwa Jeremy Meeks huenda  kesi aliyopata ya kukutwa na silaha ikiwa na manufaa kwake baada ya picha yake kuwekwa mtandaoni  hapo jana na idara ya usalama ya Stockton Polisi, hali iliyopelekea  kupata Likes na Comments nyingi toka kwa kinadada  huku wengi wao wakimsifia kwa kuwa na mvuto wa kimapenzi na muonekano wa kimodo

Akizungumza na mtandao wa News 10, Jeremy aliwashukuru wale wote waliomuunga mkono huku akikanusha msala aliokutwa nao.  ”Nashukuru ila nataka watu wajue kuwa huu ni ukweli sio mimi, mimi sio kinara wa magenge ya kihalifu” aliuambia mtandao huo akiwa nyuma ya nondo za jela  mjini Los Angels, Marekani.

Haikuishia hapo bali mtuhumiwa huyo alienda mbele zaidi kwa kujutia Tattoo ya chozi aliyochora chini ya jicho lake(Drop Tear) ambayo  huchorwa na watu waliowahi kufanya mauaji au waliopitia msoto.  ”Nimefanya mambo mengi kipindi cha nyuma ambayo siwezi kujivunia”  alisema Meeks.   Jeremy Meeks akitolewa pingu na askari kabla ya kjiandaa kupanda kizimbani

Polisi akimtoa pingu Meeks kabla ya kupandishwa kizimbani

Meeks akiwa na Mtoto wakeMeeks akicheza na mtoto wake wa kiume

Meeks Mama

Mama mzazi wa Jeremy Meeks akielekea mahakamani kusikiliza kesi ya kijana wake mtukutu

Meeks akiwa na Kaka yake mwaka 2005

Meeks akiwa na Kaka yake mwaka 2005

Meeks katika pozi na dada  yake

Meeks na dada yake katika pozi

Meeks Silaha iliyokutwa kwenye kiti cha abiriaSilaha iliyokutwa na polisi kwenye gari la Jeremy Meeks

JMeeksMuonekano wa Jeremy Meeks katika kipindi cha miaka mitatu tofauti

Jeremy Meeks ModelWataalamu wa photoshopu baada ya kufanya yao kwa kumweka kwenye matangazo ya biashara

Michelle Obaama…..Na Hawa wengine nao hawakuwa nyuma, Watu wanamtaka Meeks aachiwe huru.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

One thought on “PICHA ZA JAMBAZI ZAWATOA UDENDA WAKINADADA MTANDAONI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s