PICHA : AJALI MBAYA YATOKEA MAKONGO, YACHINJA 6 NA KUJERUHI WENGINE 12

watu

Maiti zikiwa mtaroni baada ya kutokea kwa ajali

Watu 6 wamepoteza maisha na wengine 12 wamejeruhiwa vibaya kufuatia ajali iliyotokea eneo la Makongo barabara ya Bagamoyo jijini Dar es salaam  ikiyahusisha magari manne, mawili kati ya hayo yakiwa ni daladala zinazofanya safari zake kati ya Ubungo, Mwenge, Makumbusho na Tegeta.

Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo mbaya iliyosababisha vifo vya watu 6, watatu wakiwa ni wanaume na watatu wakiwa ni wanawake huku hali za majeruhi ambao walikimbizwa hospitali ya Lugalo zikielezwa kuwa ni mbaya.

Bado jeshi la Polisi limeendelea na uchunguzi kujua iwapo dereva wa daladala hiyo lenye nambari za usajili T 377 BEF aliyesababisha ajali hiyo kama alifanya uzembe ama la.

Ajali Mbaya Makongo

Maiti ya mwanamama ikiwa imenasa chini ya uvunguu wa lori

Ajaleee

Maiti ya binti ikiwa barabarani baada ya kukanyagwa kichwani

IMG-20140621-WA006

Mashuhuda wakitazama ajali

ajali Makongo

Daladala lililopata ajali kama linavyoonekana kwa nyuma likiwa limegongwa vibaya

 

Advertisements

5 thoughts on “PICHA : AJALI MBAYA YATOKEA MAKONGO, YACHINJA 6 NA KUJERUHI WENGINE 12

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s