URUGUAY YAIFUNGASHIA VIRAGO ENGLAND KWA KIPIGO CHA BAO 2 -1

Straika wa England, Wayne Rooney akifuta machozi baada ya mchezo baina yao na Uruguay kumalizika

Straika wa England, Wayne Rooney akifuta machozi baada ya mchezo baina yao na Uruguay kumalizika

Timu ya Taifa ya  England imejiweka katika nafasi ngumu ya kufuzu kwenda mbele  baada ya kukubali kipigo cha bao 2 – 1 toka kwa Uruguay baada ya Luis Suarez kumalizia kazi nzuri ya Cavani kabla ya England kusawazisha dakika ya 75 kupitia mshambuliaji wao Wayne Rooney akimalizia vizuri krosi ya Glen Johnson.

Hata hivyo bao hilo liliwapa tamaa ya mabao  zaidi England na kujikuta wanamsahau kidogo Luis Suarez aliyefunga bao la pili baada ya kuwahi mpira wa juu uliomshinda nahodha wa England  Steven Gerrald na kumtungua Joh Hard.

Matokeo hayo yanaifanya Uruguay ifufue matumaini ya kutinga hatua ya 16 bora baada ya kuvuna Pointi 3 za kwanza wakati England wakisubiri miujiza ili iweza kuingia hatua ya pili ya michuano hiyo huku wakibakisha mchezo mmoja mkononi katika kundi D.

 

England

England Fans

Mashabiki wa Timu ya Taifa ya England wakiwa kwenye huzuni baada ya kupokea kipigo cha bao 2 – 1 dhidi ya Uruguay

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s