WANENGUAJI WA KHANGA MOKO WAJERUHIWA VIBAYA KWA RISASI

Khanga Moko Laki Si KituWakata nyonga maarufu wa kundi la ‘Khanga Moko Laki Si Pesa’ wamenusurika kupoteza maisha baada ya mtu mmoja kudaiwa kuwashambulia kwa risasi, hali iliyopelekea wasamaria wema kuwakimbiza katika hospitali ya Mwananyamala kwa ajili ya kunusuru maisha yao.

Tukio hilo linaelezwa kutokea wakati wanenguaji hao, Zawia pamoja na mwenzake wakisasambua kwa matarumbeta kwenye harusi kabla ya kufyatuliwa risasi zilizowajeruhi eneo la pajani na mwingine kwenye makalio. Hali za wagonjwa zinatajwa kuimarika  licha ya kulazimika kuendelea kukaa hospitalini hapo kwa matibabu zaidi.

Khanga Moko Laki Si PesaZawia aliyepigwa risasi ya kwenye makalio akiwa kwenye kiti maalum cha wagonjwa katika hospitali ya Mwananyamala

Khanga Moko…..Mnenguaji mwingine wa Khanga Moko aliyepigwwa Risasi ya kwenye Paja

 

Picha na Geah Habib Wa HekaHeka

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s