TASTE THE MONEY : P-SQUARE WAONYESHA JEURI YA PESA

Peter okoye1Washika vipaza wa Nigeria, kundi la muziki la P-Square wameendelea kuTaste The Money baada ya Peter Okoye kutumia ukurasa wake wa Instagram  kushea na mashabiki picha za mikoko  ya kifahari wanayomiliki.

Miongoni mwa magari hayo ni pamoja na Bentley GT tolea la mwaka 2014 alilonunua  miezi 3 iliyopita,  Jeep Wrangler toleo la mwaka huu linalomilikiwa na Paul, BMW X6 na mikoko mingine ya bei mbaya.

”Welcome to Squareville… #2014bentleyGT #2014wrangler #testimony The same God will bless u all.” aliandika Peter

peter-p

1

2014 Wrangler na 2014 Bentley GT

3

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s