RIHANNA ADATISHWA NA MSAKATA KABUMBU WA TIMU YA GHANA KEVIN – PRINCE BOATENG

The 55th Annual GRAMMY Awards - ArrivalsMkali wa muziki wa Pop Duniani, mwanadafada ‘Rihanna’ ameonyesha kuvutiwa na utanashati wa msakata kabumbu wa timu ya taifa ya Ghana na kiungo wa klabu ya Fc Schalke 04 ‘Kevin – Prince Boateng baada ya kuweka picha ya mchezaji huyo kwenye ukurasa wake waTwitter siku ambayo Ghana ilichezea kipigo cha bao 2 -1 toka kwa Marekani.

”Da Bae Doe! I Might Have To Be team Ghana on this one idc idc idc” aliandika Rihanna.  Hata hivyo huenda ikamuia vigumu Riri kuweza kumnasa mwanasoka huyo kutokana na kuwa tayari kwenye mahusiano ya kimapenzi na mrembo Melissa Satta anayetarajia kujifungua hivi karibuni.

Riri Tweet

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s