MASTAA WA BONGO MOVIE WANUSURIKA KATIKA AJALI YA GARI

Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere akibadilisha tairi

Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere akibadilisha tairi

Wasanii nyota wa filamu ‘Bongo Movie’ wakiongozwa na mwenyekiti wao Steve Nyerere wamenusurika katika ajali mbaya ya gari  iliyotokea maeneo jirani na Chalinze wakiwa njiani kuelekea Dar wakitokea mjini Dodoma walipoenda kuhudhuria Tamasha la Uzalendo pamoja na Uzinduzi wa video ya wimbo wa miaka 50 wikiendi iliyopita.

Chanzo cha ajali hiyo kimetajwa kuwa ni kupasuka kwa matairi mawili ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Brevis lenye nambari za usajili T 200 CRY hata hivyo Hakuna mtu aliyeripotiwa kufa wala kujeruhiwa. Vicent Kigosi ‘Ray’, Shamsa Ford, Irene Uwoya, Johari na Jaccob Steven ‘JB’ ni miongoni mwa wasanii waliokuwepo eneo la tukio.

Maisha Matamu, Johari na Shamsa Ford katika picha baada ya kunusurika ajalini

Maisha Matamu, Johari na Shamsa Ford katika pozi, baada ya kunusurika ajalini

Brevis   Tairi Wadau wakitoa msaada

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s