CIARA AMUANIKA MTOTO WAKE WA KIUME SIKU YA WABABA DUNIA

2013 MTV Video Music Awards - Red Carpet

Future na Ciara

Kwa kutambua mchango wa kina baba katika jamii, kila ifikapo Juni 16 kila mwaka mataifa mbalimbali huadhimisha siku ya wababa Dunia(Father’s Day), ila kwa mwaka huu mwanamuziki Ciara amesherekea sherehe hizo kwa kumuonyesha mtoto wake wa kwanza wa kiume aliyezaa na Rapa Future mwezi mmoja uliopita  Los Angels, Marekani.

Diva huyo  mwenye umri wa miaka 28, alishea na mashabiki picha mbili za mtoto wake kwenye mtandao wa Instagram huku moja ikimuonyesha jinsi alivyo na nyingine akiwa ameshika kidole cha shahada cha baba yake na kuandika ujumbe uliokuwa ukimfagilia mpenzi wake huyo kwa kuwa  baba bora.

”From The Moment Baby Future Arrived, He Was Holding Your Hand So Tight, He Knew You Were Dad. Seeing That Melted My Heart… When I Look At Him, I See You Shining Through, And That’s One Of The Most Beautiful Things Ever! You Are Truly One Of The Realist, Most Caring, Hard Working, Loving Dads In The World, and I’m So Proud Of You.I Love You. Happy Fathers Day @Future aliandika Ciara

Future akiwa ameshikwa kidole na mtoto wake wa kiume

Future akiwa ameshikwa kidole na mtoto wake wa kiume

Baby Future

Mtoto wa Ciara na Future

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s