WEMA SEPETU AKANUSHA KUTUNDIKWA MIMBA NA DIAMOND

Diamond na WemaMiss Tanzania mwaka 2006 na Msanii nyota  wa filamu nchini, Wema Sepetu amekanusha vikali  habari zilizozagaa kwa kasi mitandaoni tangu jana, zinazodai kuwa amebeba ujauzito wa wiki saba huku mbongo fleva Diamond Platnumz akitajwa kuwa ndiye muhusika wa mimba hiyo.

”Jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…. sijui watu wanatolea wapi… Im NAT… Dah… I wish I was… But im nat wapenzi wangu”  aliandika Wema kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye wafuasi zaidi ya laki moja.

 

Advertisements

2 thoughts on “WEMA SEPETU AKANUSHA KUTUNDIKWA MIMBA NA DIAMOND

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s