PICHA ZA UZINDUZI WA VIDEO YA JUX ‘NITASUBIRI VIDEO LAUNCH’ CLUB BILLICANAS

 

Jux akiwasabahi mashabiki wake

Jux akiwasabahi mashabiki wake

Usiku wa Juni 15 ulikuwa wa aina yake ndani ya klabu Billicanas wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Nitasubiri ya msanii wa muziki wa kizazi kipya na kipenzi cha kinadada wengi, Jux  ambayo imetengenezwa barani asia chini ya muongozaji mahiri Zed Benson.

Katika uzinduzi huo wakali kama vile Mr.Blue, Cyrill Kamikaze, Nyandu Tozy kutoka BOB, Young Dee, Country Boy pamoja na Mtangazaji wa Clouds Fm ‘BDozen’ aliyekuwa MC wa shughuli hiyo waliweza kuangusha shoo ya kijanja kwa  wadau na wapenzi wa burudani waliojitokeza hapo jana. Tazama hapo chini Picha na Video ya jinsi ilivyokuwa….

 

46

Cyrill Kamikaze akiimba Alowa pamoja na mashabiki

Vee Money

Shabiki aliyeonekana kukunwa na ngoma za mwanadada Vanessa Mdee akiimba kwa hisia

123215

Nyandu Tozy baada ya kupanda jukwaani

Nyandu Tozy baada ya kupanda jukwaani

92Mr.Blue akikonga nyoyo za mashabiki

63 55 Young Dee

Young DSM na Country Boy

Country Boy na Young Dee wakifanya yao kwa jukwaa

83

Mr.Blue akifanya yake jukwaani

Kamikaze

Kamikaze akiwabamba mashabiki na  Alowa

113

Barnaba Boy nae pia alikuwepo katika kumpa sapoti Jux

Vdeo Launch

Wadau wa burudani, Jimmy McMele pamoja na Dj Vasley wakipata ukodaki wa Edwin

Hamisa Mobeto

Mwanamitindo Hamisa Mobeto alikuwepo katika kushow love

73

Mtangazji wa Clouds ‘BDozen’ akimkaribisha Jux Kwa jukwaa

 

Nyomi ya mashabiki waliojitokeza katika usiku wa Nitasubiri Video Launch

Nyomi ya mashabiki waliojitokeza katika usiku wa Nitasubiri Video Launch

162

Jux akiimba Nitasubiri pamoja na Mashabiki171  310

110

I love my fans #nitasubiri video launch #love #music #happy #africanboy

A post shared by Juma_jux (@juma_jux) on

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s