PICHA ZA MASHAMBULIZI MJI WA MPEKETONI NCHINI KENYA

Magari Kenya

Askari wa jeshi la Kenya akitazama magari yaliyochomwa moto

Polisi nchini kenya wanasema kuwa watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabaab wamewaua takriban watu 48 kwenye mji wa mpeketoni uliopo karibu na kisiwa cha Lamu.

Watu wanne waliokuwa na silaha waliteka magari mawili na kuyaamrisha kuelekea eneo la Mpeketoni ambapo walianza kuwafyatulia watu risasi kiholela.

Walioshuhudia walisema kuwa kundi moja lilishambulia mikahawa , kituo cha polisi pamoja na kituo cha mafuta kwa saa kadhaa.  Miili ilibaki imetapakaa kila mahala huku maeneo mengine yakiteketezwa.

Ulinzi umeimarishwa eneo hilo na maeneo mengine huku magari takribani 30 yakichomwa moto wakati wa Uvamizi huoPamoja na  kuuchoma Mtambo wa Mawasiliano wa Safari com na Transfoma ya Umeme.

Hatari Tupu Kenya

Baadhi ya wakazi wa eneo la Mpeketoni wakitazama uharibifu uliofanywa

Maiti

Miili ya watu ikiwa imehifadhi sehemu isiyo rasmi baada ya kushambuliwa

Maachafuko KenyaKenya ni Hali TeteWakazi Wa Kenya

.-bbc.co.uk

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s