PICHA ZA UZINDUZI WA MICHUANO YA 2014 FIFA WORLD CUP NCHINI BRAZIL

Wachezaji wa Brazil wakiwasili dimbani

Kikosi cha Brazil kikkiwasili katika dimba la Arena Corithians mjini Sao Paulo, Brazil

Michuano ya kombe imezinduliwa rasmi usiku huu mjini Sao Paulo nchini Brazil sambamba na vikundi takribani 600 vya sanaa p vilivyotoa burudani ya aina yake katika dimba la Arena Corithians litakalotumika katika mechi ya ufunguzi baina ya wenyeji Brazil na Croatia.

Huku wakali kama vile Claudia Leitte, Pitbull na mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez  kwa pamoja waliweza kukonga nyoyo za mashabiki  waliokuwepo uwanjani hapo kwa kuimba wimbo maalum kwa ajili ya michuano hiyo unaoitwa We Are One(Ole Ola). Tazama Picha zaidi hapo chini

Dimba La Ufunguzi

Living BallWatumbuizaji wakiwa tayari kwa ajili ya uzinduzi wa kombe la Dunia

Blatter na Ban Ki MoonKatibu mkuu wa umoja wa mataifa, Ban Ki-Moon, Rais wa Brazil mwanamama Dilma Rousseff na Rais wa Shirikisho la mpira FIFA Sepp Blatter  Uzi wa Crotia

Jezi watakayovaa  Croatia

Ufunguzi wa Kombe La Dunia Ufunguzi wa FIFA World 2014Vikundi vya ngoma za asili wakifanya yao

J.Lo na PitbullJennifer Lopez na Pitbull wakitumbuiza

Pitbul, Jlo na Claudia wakifanya yaoJennifer Lopez, Pitbull na Claudia wakiimba wimbo wa We are one(Ole Ola)     Brazuka Chumba cha kubadilisha mavazi cha BrazilChumba maalum cha kubadilisha nguo cha Timu ya taifa ya BrazilClaudia Leitte, Pitbull na J.Lo CLAUIDA LEITTEMuimbaji wa Brazil, Claudia Leitte akiwabungia mashabiki

Advertisements

One thought on “PICHA ZA UZINDUZI WA MICHUANO YA 2014 FIFA WORLD CUP NCHINI BRAZIL

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s