PICHA : SOKO LA KARUME LATEKETEA KWA MOTO USIKU WA KUAMKIA LEO

KarumeMoto mkubwa umetetekeza kabisa soko kubwa kabisa la mitumba la karume huko Dar es Salaam usiku wa Jumatano, na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara zaidi ya 10,000 kupoteza mali zao na mahali pa kujipatia riziki.

Wazima moto walifanikiwa kuudhibiti moto uloweza kufikia karibu na kiwanda cha Breweries, lakini haujasababisha hasara yeyote katika nyumba za jirani wa soko hilo kufuatana na mwandishi habari wa Raia Mwema Mbaraka Islam alipozungumza na Sauti ya Amerika.

Anasema hakuna kibada cha biashara kilichosalimika na hakuna mtu aliyefanikiwa kuokowa mali yake. Mfanya biashara Wilson magembe anasema amepoteza kila kitu na ilikuwa vigumu kuweza kuchukua bidhaa zao kwa sababu moto uliwaka kwa haraka sana.

Sokoni Karume

Soko La Karume Machinga Soko La KarumeSoko La Karume UhuruSoko la Karume katika picha baada ya moto kuzimika

Mstahiki Meya wa wilaya ya Ilala Mheshimiwa Jerry Silaa akihojiwa na waandishi wa habari sokoni Katika soko la Karume lililowaka moto

Mstahiki Meya wa Ilala Mheshimiwa Jerry Silaa akihojiwa na waandishi wa habari Katika soko la Karume lililoteketea kwa  moto usiku wa kuamkia leo

Mmoja wa wahanga wa soko la Karume akiongea na waandishi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s