MUZIKI WA BONGO UNALIPA : NAY WA MITEGO AUANIKA MKOKO WAKE MPYA AINA YA NISSAN MURANO

Nay Wa Mitego

Nay wa Mitego akiwa amepozi kwenye mkoko wake mpya aina ya Nissan Murano

Hitmaker wa Nakula ujana, Nay wa Mitego ameongeza idadi ya magari anayomiliki baada ya kuanika mkoko wake mpya alionunua hivi karibuni aina ya Nissani Murano toleo la mwaka 2007 huku thamani yake ikikadiriwa kufikia kiasi cha shilingi milioni 35 za kibongo.

Hilo linakuwa gari la pili kumilikiwa na msanii huyo wa Bongo Fleva baada ya Toyota Mac X alilonunua mwaka jana…’‘Brand new one..#Nisan#Murano#my birthday#gift#from me#thanx god#money#makers#966#rich#rapper#money#makers#big#surprise#2come” aliandika Nay kwenye ukurasa wake wa Instagram akimaanisha kuwa ununuzi wa gari hilo jipya ni moja ya sehemu ya zawadi katika siku yake ya kuzaliwa.

Kama unavyoonekana kwa ndani

Kama unavyoonekana kwa ndani

Mkoko mpya wa Nay Wa Mitego   Nay Wa Mitego Nissan Murano  Nissan Murano

Nay Wa Mitego na watu wake wakisherekea siku yake ya kuzaliwa na ujio wa ndinga jipya

Nay Wa Mitego akisherekea siku yake ya kuzaliwa na  watu wake ikiwemo na ujio wa ndinga jipya

Nay Wa Mitego Mac X…Hapa akiwa amepozi kwenye mkoko wake wa mwanzoni aina ya Toyota Mac X

Hard Work Pays Off!!!.. Keep Up The Good Work Bro

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s