MARIO BALOTELLI AMCHUMBIA MPENZI WAKE MJINI RIO DE JANEIRO NCHINI BRAZIL

Mario Balotelli na Fanny Neguesha

Mario Balotelli na Fanny Neguesha

Mshambuliaji machachari wa AC Millan na timu ya Taifa ya Italia, Mario Balotelli ameonyesha nia ya kumchukua jumla mpenzi wake  mwanamitinddo raia wa  Ubelgiji Fanny Neguesha baada ya kumvisha pete ya uchumba kwenye fukwe za mjini Rio De Janeiro, Brazil ambapo kwa sasa timu yake imetia kambi nchini humo kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya kombe la Dunia itakayoanza kutimua vumbi hii leo..

Alisema ndiyo … ndiyo muhimu zaidi katika maisha yangu. Hiyo ilikuwa ni sehemu ya swali langu! Nampenda na namtakia siku njema ya kuzaliwa pia! Je t’aime mke wangu” aliandika Balotelli mwenye umri wa miaka 23 kwenye ukurasa wake wa Twitter akichanganya lugha mbili kwa mpigo ya kiitalia pamoja na kiingereza.

Haikupita muda Neguesha nae alitupia picha ya pete aliyovishwa ikiwa imetengenezwa kwa madini ya almasi kwenye akaunti yake rasmi ya Instagram na  kisha kuandika  ”Usiku wa leo, nimesema ndiyo iliyo muhimu katika maisha yangu.  Ulikuwa ni utambulisho mzuri katika siku yangu ya kuzaliwa”

Mario Balotelli InstaPete aliyovishwa Fanny Neguesha na Straika Mario Balotelli

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s