KICHUPA KIPYA : HEMEDY PHD – ON MY WEDDING DAY [Official Music Video]

On My Wedding DayBaada ya Rest of my Life kufanya vizuri kwenye vituo mbalimbali vya redio nchini, Muigizaji na Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hemedy Suleiman ‘PHD’ au unaweza ukamwita PappiNation amekuja na ujio mwingine wa video mpya ya wimbo wake  ‘On My Wedding Day’ ikiwa ni miezi michache kupita tangu mkali huyo amuanike mkewe mtarajiwa. Video  imetengenezwa na Kwetu Studio chini ya muongozaji wake  Msafiri Shabani.. Itupie Jicho Hapo Chini…

Hemedy na Kifaa ChakePappiNation akiwa na kifaa chake AKA Mke Mtarajiwa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s