PICHA ZA UZINDUZI WA LIFT YA KWANZA JIJINI MBEYA

Lifti Mbeya 

Kwa waliobahatika kutembelea mitandao mbalimbali  ya kijamii siku ya leo, bila shaka utakuwa umeweza kusikia kuhusu ishu nzima ya uzinduzi wa Lifti ya kwanza jijini Mbeya na baadhi ya picha za utani zinazohusiana na ishu hiyo, ukweli ni kwamba  mji wa Mbeya umeweza kuzindua Lifti ya kwanza iliyopo katika jengo la Chama cha Walimu,   Tukio lililovuta hisia za watu wengi.. Itazame Hapo chini

Jengo la walimuJengo la Chama Cha Walimu mjini Mbeya lenye Lift

Mbeya Uzinduzi wa LiftWakati wa uzinduzi

Mbeya Lifti

Lift ya kwanza Mbeya

Wadau kwenye Lifti Wadau wakiizindua Lift kwa mara ya kwanza

Mkazi wa MbeyaUshamba mzigo na kipya kinyemi, Picha ya utani iliyozagaa mtandaoni ikimuonyesha mkazi wa Mbeya akigonga Hodi kwenye Lift ili ifunguliwe

Picha kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s