PICHA ZA MAZISHI YA MZEE SMALL MAKABURI YA TABATA SEGEREA JIJINI DAR

Mwili wa Marehemu Mzee Small ukihifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele jioni ya leo katika makaburi ya Tabata Segerea jijini Dar.

Ustadhi akimuombea marehemu dua ya mwisho baada ya kuuhifadhi mwili wake kaburini.

Msanii wa kundi la Vichekesho Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’,akiweke udongo kwenye kaburi la mzee Small.

Mdogo wa marehemu mzee Small akiwa chini baada ya kuzidiwa na kuishiwa nguvu muda mfupi baada ya shughuli za kuhifadhi mwili wa kaka yake kumalizika.

Jeneza la Mzee Small likiombewa.

  Jeneza likipelekwa kwenye gari.

…Llikiwekwa ndani ya gari.

Jeneza likishushwa makaburini.

   Safari ya kuelekea makaburini.

Mahmoud Said Ngamba akisoma wasifu wa baba yake.

   Waombolezaji waliojitokeza msibani.

   Rais Kikwete alipowasili msibani.

Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo pembeni (kulia) ni Mahmoud, mtoto wa marehemu.

  Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (Taff), Simon Mwakifwamba akisalimiana na Rais Kikwete.

Mzee Chillo akiteta jambo na Rais Kikwete.

  Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, na mtoto wa marehemu Mahmoud (aliyevaa kibaraghashia).

Wananchi wakisalimiana na Rais Kikwete.

Picha kwa hisani ya Global Publishers

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s