HATIMAYE! DIAMOND AKUBALI KUFANYA KOLABO NA MAFIKIZOLO, WAINGIA STUDIO

Diamond na Mafikizolo wakiwa Studio

Diamond na Mafikizolo wakiwa Studio

Unaweza ukashangaa kitendo walichofanya wakongwe wa muziki wa kwaito toka Afrika Kusini, kundi la Mafikizolo linaloundwa na vichwa viwili, Theo pamoja na mwanadada nhlanhla kuomba kufanya kolabo na msanii wa muziki wa kizazi kipya na mshindi wa Tuzo 7 za Kili  ‘Diamond Platnumz’ na baada ya ombi lao kukubaliwa, wakali hao watatu wameweza kuingia studio na kuanza zoezi zima  la kurekodi ngoma mpya…

Hayo yanajiri ikiwa ni siku tatu kupita tangu kufanyika kwa  sherehe za utoaji Tuzo za MTV Africa Music Awards mjini Durban , nchini humo,  ambapo kwa upande wa Tanzania haikuweza kubahatika kunyakua Tuzo hizo kubwa na za heshima barani Afrika, lakini daima mwanajeshi  huwa harudi nyuma  bali anasonga mbele. Tazama hapo chini Picha za mastaa hao wakiwa Studio..

Oskido, nhlanhla, Diamond na Theo

Oskido, nhlanhla, Diamond na Theo

Mafikizolo & DiamondStudio kama kazi

Diamond Platnumz akifanya yake studio

Diamond Platnumz akifanya yake studio

Diamond & Mafikizolo Collab  Diamond na Salama

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s