TP MAZEMBE YAILOWESHA 1 – 0 ZAMALEK YA MISRI

TP MazembeTP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliishinda Zamalek ya Misri kwa goli 1-0 kwenye mechi za makundi ya Ligi Kuu ya Mabingwa Afrika siku ya Jumapili.

Mchezaji kutoka Zambia Rainford Kallaba alifunga goli pekee lililoipa ushindi TP Mazembe. Kwa matokeo hayo ya Lubumbashi yanamaanisha kwamba Mazembe wanaongoza kundi A kwa alama sita.

Wenzao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, AS Vita Club wako nafasi ya pili, wakipitwa kwa alama mbili.   AS Vita walitoka sare ya 1-1 dhidi ya timu ya Sudan Al Hilal siku ya Ijumaa.

Kwa upande wa kundi B, Entente Setif ya Algeria walibanwa mbavu kwa sare 1-1 nyumbani kwao na Al Ahli Benghazi ya nchini Libya.

-Taarifa.co.tz

Advertisements

One thought on “TP MAZEMBE YAILOWESHA 1 – 0 ZAMALEK YA MISRI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s