JENNIFER LOPEZ HATOIMBA KWENYE UFUNGUZI WA KOMBE LA DUNIA

J.LoMwanamuziki Jennifer Lopez hatotumbuiza wimbo rasmi wa Kombe la Dunia alioshirikiana na Pitbull na Claudia Leitte wakati wa sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo Nchini Brazil.

Shirikisho la Soka Duniani Fifa limesema Lopez hatoweza kuimba siku ya Alhamisi kama ilivyopangwa awali kutokana na masuala ambayo yanahusiana na uandaaji wa kazi hiyoambayo hayajaelezwa wazi.

Ingawa Mwakilishi wa mwanamuziki huyo hakutoa maelezo sababu haswa za Lopez kutoshiriki kuimba wimbo huo wa kombe la dunia na wenzake.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s