ALICHOSEMA DIAMOND BAADA YA KUKOSA TUZO ZA MTV MAMA

 

MTV MamaMsanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul ”Diamond Platnumz”  amewashukuru mashabiki wake wote, media,familia na wadau mbalimbali waliokuwa nae bega kwa bega na kutumia muda wao wa kumpigia kura katika zoezi zima la kuwania Tuzo za MTV MAMA zilizofanyika hapo jana mjini Durban nchini Afrika kusini licha ya kushindwa kutwaa tuzo hizo kubwa katika vipengele viwili alivyokuwa akishindania….

Maisha ni Hatua.. Nafkiri kwa mwaka huu ile ndio ilikuwa hatua yetu kwa MTV…Cha muhimu ni kujua wapi tulipokua mwaka jana na wapi tulipo leo… pia kujifunza na kujua ni nini cha kuongeza zaidi ili Next tym tuzidi kufanya vyema…. Shukrani zangu nyingi ziende kwa Mashabiki wote,Management, Media,Family, wasanii na wadau Mbalimbali kwani kwa nguvu zao ndio zimefanya leo kunisogeza toka sehem moja kwenda nyingine…Next stop #BET!!!… Asante sana…..aliandika Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram….

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s