SERENA GOMEZ AMKINGIA KIFUA JUSTIN BIEBER

Justin Bieber na Serena GomezWakati mastaa mbalimbali weusi wenye misimamo mikali wakimtolea uvivu  mwanamuziki Justin Bieber kufuatia video  mbili kuenea mitandaoni siku chache huku zikimuonyesha akifanya utani wa kibaguzi wa rangi, watu wake wa karibu kama vile mlinzi na meneja wake Scooter Braun wamemtetea  na kudai kuwa mwanamuziki huyo sio yule wa kipindi cha mia mitano iliyopita, kauli iliyoungwa mkono na zilipendwa wake mwanadada Serena Gomez.

Watu wa karibu wa Serena waliuambia mtandao wa Hollywood Life kuwa mkali huyo kutoka Canada hakuwa na nia mbaya.  ”Serena hafikirii kama Justin Bieber ni mbaguzi, yeye anadhani ulikuwa ujinga na utoto”  na kuongezea ”kulingana na yeye alivyoamua kubadilika basi anaamini amekuwa hiyo ni  kulingana na anavyoona jitihada na uwezo wake”..

Mbali na Serena, Rapa  50 Cent nae alitoa yake ya moyoni na kudai kuwa utoto unamsumbua kinda huyo na isitoshe haijui thamani yake , ”I don’t think he’s racist…I think Justin’s still a baby and he’s lost. he even knows who he is at this point. He’s so young.”  alisema Hitmaker huyo wa In Da Club..

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s