BEKHAM, ZIDANE, BALE NA LUCAS KATIKA TANGAZO LA ADIDAS

Zidane na BekhamKampuni ya Adidas imewaleta kwa pamoja wasakata kabumbu nyota wa zamani na wa sasa katika tangazo moja lililopewa jina la House Match au mechi ya ndani kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia 2014 itakayofanyka nchini Brazil ambapo wachezaji kama vile David Beckham, Zinedine Zidane, Gareth Bale na Lucas Moura wanaonekana wakiwa kwenye tangazo hilo.

katika tangazo hilo la dakika 1 na sekundi 06 linawaonyesha mastaa hao wakionyesha ufundi wa kucheza mpira ndani ya nyumba licha ya kuharibu vitu kadhaa ndani ya nyumba hiyo, nisingependa nikuchoshe sana tazama mwenyewe tangazo hilo hapo chini lililoongozwa na dairekta maarufu aitwae Fernando Meirelles aliyewahi kuongoza filamu ya kibrazili inayoitwa City of God…

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s