Wanasema Duniani hakuna siri hiyo ni kufuatia picha za kimahaba kuzagaa kama njugu mitandaoni zinazomuonyesha mbunge wa Mbinga Magharibi kupitia tiketi ya CCM, Kapteni John Damiano Komba akiwa kwenye mapozi ya kimahaba na wanawake wawili tofauti, huku mwenyewe akiruka kimanga na kudai kuwa picha hizo sio za kwake bali zimetengenezwa na maadui wake wa kisiasa.
Huku akiwataka wale wote wanaomuamini kama kiongozi shupavu wa Taifa, wasikatishwe tamaa na wajinga wachache wenye mawazo ya kutumwa ambao wanadhani wanaweza kummaliza kisiasa kwa kumtengenezea picha chafu kama hizi..
haibu kaka