HUU NDIO USHAHIDI KUHUSU JAY Z KUVAA NGUO ZA KIKE

Jay Z

Jay Z ndani ya jezi ya kike ya Rodarte

Kwa muda Mrefu Jay Z aliripotiwa kuwa huwa anavaa Jezi za Kike, na hivi karibuni alikutwa mitaa ya Jiji la New York akiwa amevaa JEZI (Jersey) ya Mpira wa Miguu ya Rodarte ambayo iliyotengenezwa Maalum kwa wanawake ambayo huwa na Namba 5 kubwa kwa Mbele.

Kutokana na hatua hiyo, watu wameendelea kujiuliza kama Jay Z alikuwa amevaa Jezi ya Mkewe Beyonce kwa kuonesha upendo tu, au alinunua nguo hiyo Makusudi.

Jay Z na Mkewe “Beyonce” huvaa Mavazi ya Rodarte, na Jumapili iliyopita wawili hao waliwasili New York huku Beyonce akiwa amevaa Sweta la Rodarte likiwa limeandiwa Radarte.

Imebainika kuwa hata Miaka ya nyuma kwenye Video nyingi za nyimbo zake, Jay Z alikuwa akitupia Jezi za Kike ila watu walikuwa hawafuatilii kwa makini… , Jaribu kutazana Video zake za Nyimbo za Jay Z za Miaka ya 1990 na Mwanzoni mwa miaka ya 2000….

Jezi ya Kike

Mwanamitindo akiwa ndani ya jezi ya Roderte

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s