CHATU ALETA KIZAZAA JIJINI ARUSHA

 

Nyoka mkubwa jamii ya chatu amezua taharuki jijini Arusha eneo la Sakina baada ya kuonekana nyumbani kwa mwanamama mmoja akiwa na kitambaa kilichokuwa na maandishi kama yale wanayoandika waganga wa kienyeji, hali iliyopelekea majirani kumjulisha mwenye nyumba ambaye hakuonyesha hofu yoyote na kuagiza kutokuuliwa kwa nyoka huyo akidai kuwa ni mtoto wake,  lakini kauli hiyo haikusaidia kwani majirani walifanikiwa kumuua kwa kumkatakata vipande.

Hii sio mara ya kwanza kutokea kwa matukio kama hayo yanayohusishwa na imani za kishirikina huku baadhi ya majirani wakidai huenda utajiri wa mwanamama huyo unatokana na imani hizo. Kwa wale waliopitwa na mkasa huu unaweza ukatazama hapo chini picha za nyoka huyo.

 

Kitambaa alichofungiwa chatu huyo

 

Baada ya majirani kumkatakata mapanga chatu

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s