PICHA : MKUU WA MKOA WA DAR AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA GEORGE OTIENO ‘TYSON’ VIWANJA VYA LEADERS CLUB

Jeneza lenye mwili wa Tyson

Mdogo wa marehemu aitwaye Carlo akilia baada ya kuliona jeneza lililobebaa mwili wa marehemu

Mchungaji Bob Makari wa kanisa la Ocean Community Church alilokuwa akisali marehemu.

Monalisa akiwa katika huzuni

Mtoto wa Tyson aitwaye Sonia akilia kwa huzuni

….akitoa heshima za mwisho kwa marehemu baba yake

Natasha, Sonia na Monalisa wakiwa na nyuso za huzuni wakati wa ibada kwa marehemu Tyson

Mke wa marehemu Tyson aitwaye Beatrice Shayo (kulia) akiwa na dada yake.

Waombolezaji  wakiwa wamejipanga kuupokea mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’.

Mwili ukishushwa kutoka kwenye gari.

…Ukiingizwa nyumbani.

Mboni Masimba (kati) akiwa na simanzi uchungu nyumbani kwa marehemu George Tyson.

Waigizaji Vanita, Natasha na ndugu wa marehemu wakiwa na huzuni.

Monalisa akiuaga mwili wa Tyson.

Jeneza alimolazwa Tyson.

Beatrice Shayo akilia kwa uchungu.

Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa.

Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ likiwa mbele ya baadhi ya waombolezaji.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba (wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere (wa pili kulia) wakisubiri kuongoza shughuli za kuaga mwili wa Tyson.

Aliyekuwa mke wa marehemu, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ (kulia) akilia kwa simanzi pamoja na mwanae aliyezaa na marehemu Tyson, Sonia (katikati).

Mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ ukiwasili Viwanja vya Leaders.

Mwili wa marehemu ukitolewa kwenye gari.

Waombolezaji wakiwa Viwanja vya Leaders.

OTIEJeneza likipelekwa eneo maalum Leaders.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akiaga mwili wa marehemu George Otieno ‘Tyson’ katika Viwanja vya Leaders, Dar.

Said Mecky Sadick wakati akielekea kuaga mwili wa Tyson.

Mwili wa marehemu George ukiandaliwa kwa ajili ya kuagwa.

Mwili wa George Tyson ukiagwa.

Picha kwa hisani ya Global Publishers

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s