H.BABA ASHINDWA KUMUAGA TYSON, ASHIKWA NA HOMA KALI

H-Baba alazwa

H-Baba

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Hamisi Ramadhani Baba, maarufu kama ‘H.Baba‘ ameshindwa kutoa heshima za mwisho kwa  mwili wa marehemu George Tyson ulioagwa katika viwanja vya Leaders Club baada ya kupata homa kali iliyompelekea aanguke ghafla wakati akijiandaa kuelekea msibani na kukimbizwa hospitalini.

Mkali huyo mwenye vipaji lukuki ikiwemo uigizaji aliposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa hospitalini na dripu mkononi na kisha kuandika ”Naumwa sana nilikuwa najiandaa kwenye kumuaga mwenzetu #tyson nikaskia kizunguzungu nikaanguka apa nipo hosp”. Get Well Soon Bro

H_Baba Tanzania H-BabaH.baba akiwa hospitalini na Dripu mkononi

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s