BAADA YA APPLE KUINUNUA KAMPUNI YA BEATS ELECTRONICS, DR.DRE ANUNUA BONGE LA HEKALU

dr dre 050410Baada ya kuipiga bei  kampuni yake ya Beats Electronics kwa  Apple, Msanii wa HipHop na Producer Andre Romelle Young ‘Dr.Dre’  ameanza kuonyesha jeuri ya fedha kwa kununua jumba kubwa la kifahari lilomgharimu kiasi cha dola za kimarekani milioni 40 huku akizipotezea samani zilizopo na kutangaza kuweka za kwake.

Awali mjengo huo uliopo eneo la Brentwood mjini Los Angels ulikuwa unamilikiwa na mchezaji nyota wa  American Football   Tom Brady na mkewe  mwanamitindo mwenye asili ya Brazil Gisele kabla ya kuamua kuuweka sokoni mwezi Machi kwa dola milioni 50.

Hekalu hilo lina ukumbwa wa mita za mraba 18,700, bwawa kubwa la kuogelea, sehemu ya michezo na mazagazaga mengine kibao. “I own acres, floor seats watching the Lakers” aliandika Dre..Tazama Picha za mjengo huo hapo chini

Mjengo wa Dr Dre

Dr.DreLASehemu ya michezoChumba maalum cha kufanyia mazoezi

VyumbaSebuleni

Brady na GiseleTom Brady na mkewe Gisele waliokuwa wakimiliki hekalu hilo hapo awali

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s