HILI NDIO JUMBA LA KIFAHARI ALILONUNUA KENDRICK LAMAR

kendrick Lamar

Kendrick Lamar

Rapa Gengsta kutoka Compton, Marekani ‘Kendrick Lamar’ ameanika picha za jumba lake jipya la kifahari alilonunua hivi karibuni eneo la Eastvale mjini California kwa kiasi cha dola za kimarekani 345,000 ambazo ni sawa  milioni mia tano za kibongo kabla ya kulifanyia ukarabati na kufikia kiasi cha dola 523,500.

Mjengo wa Mkali huyo wa kibao cha Poetic Justice mwenye umri wa miaka 26 lina ya vyumba 4 vya kulala, bwawa la kuogelea, sehemu ya kula,jiko, michezo pamoja na sehemu mbili za kulaza magari. Tupia jicho picha za jumba hilo hapo chini..

Kendrick Crib Kendrick Crib1

Bwawa la kuogelea

Kendrick House

Sehemu ya jikoni

KL CribEneo la Garage kwa ajili ya kulaza magari

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s