SIMANZI : MAMA MZAZI WA MHE. ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA

zitto na Shida

Mhe. Zitto Kabwe na Mama yake

Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chadema, mheshimiwa Zitto Kabwe ameondokewa na mama yake mzazi bi. Shida Salum aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania(CHAWATA) baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na saratani ya shingo ya kizazi hali iliyopelekea kulazwa kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu(ICU)  katika hospitali ya AMI iliyopo Masaki jijini Dar es salaam mpaka mauti kumkuta.

”My Mother has just passed away Inna lillah wainna illaih raajiun” aliandika Zitto kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter.  Blogu ya Larrybway91 inatoa pole kwa Familia ya Mheshimiwa Zitto Kabwe katika kipindi hiki kigumu cha kumpteza mpendwa wao. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Ameen.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s